Simba yashusha kiungo Msenegal

Joel JJ By Joel JJ β€’ 31st July 2025


Simba yashusha kiungo Msenegal

Simba imetambulisha usajili wa kiungo raia wa Senegal Alassane Kante (24) kutoka klabu ya CA Bizertin ya Tunisia

Kante ametua Msimbazi katika nafasi ya Fabrice Ngoma ambaye alipewa 'Thank You' baada ya mkataba wake kumalizika

Kante ni kiungo wa kati ambaye pia anaweza kutumika kama kiungo mkabaji au mchezeshaji

Simba iliweka kipaumbele usajili wa kiungo huyo ambapo kocha Fadlu Davids alimuhitaji ili kuimarisha safu ya kiungo cha ukabaji


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.