Semfuko, Abraham ni mali ya Simba

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st August 2025


Semfuko, Abraham ni mali ya Simba

Klabu ya Simba jana ilithibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji Morice Abraham akitua kama mchezaji huru

Morice aliyerejea nchini mapema mwaka huu akitokea Serbia baada ya kuachana na FK Spartak ya nchini humo, alijumuishwa katika kikosi cha Simba kama sehemu yake ya majaribio

Aidha Wekundu hao wa Simba pia wamemnasa kiungo Hussein Semfuko kutoka klabu ya Coastal Union

Semfuko anatua Simba baada ya kung'ara katika kikosi cha Coastal Union msimu uliomalizika

Nyota hao wamejumuishwa katika kikosi cha Simba kilichoweka kambi y pre-season huko Misri


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.