International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu August 04 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Aug 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu August 04 2025

Tottenham wanaonyesha nia ya kumsajili winga wa Real Madrid na Brazil, Rodrygo, 24, kama mbadala wa mshambuliaji wao kutoka Korea Kusini, Son Heung-min, 33. (AS - in Spanish)

Manchester United wako tayari kutoa ofa ya kwanza inayofanana na Newcastle kwa ajili ya mshambuliaji wa RB Leipzig na Slovenia, Benjamin Sesko, 22. (Sky Sports Germany)

Newcastle pia wanataka kumchukua mshambuliaji wa Paris St-Germain na Ureno, Goncalo Ramos, 24, ikiwa mpango wa Sesko utashindikana. (Daily Mail)

Inter Milan wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na Uingereza, Mason Greenwood, 23, kutoka klabu ya Ufaransa ya Marseille. (Corriere Dello Sport - in Italian)

Klabu ya Ujerumani ya RB Leipzig iliulizia kuhusu winga wa Uingereza, Tyrique George, 19, wakati wa mazungumzo na Chelsea kuhusu uhamisho wa kiungo kutoka Uholanzi, Xavi Simons, 22. (Fabrizio Romano)

Kipa wa Paris St-Germain na Italia, Gianluigi Donnarumma, 26, ana nia ya kujiunga na Manchester United. (Teamtalk)

Klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia wanamfuatilia mshambuliaji wa Liverpool na Uruguay, Darwin Nunez, 26. (Athletic - subscription required)

Winga wa Manchester United na Brazil, Antony, 25, hana nia ya kuhamia Saudi Arabia na anataka kujiunga na Real Betis, ambapo alikuwa kwa mkopo msimu uliopita. (Sport - in Spanish)

Winga wa Manchester United na Argentina, Alejandro Garnacho, 21, amesema 'kipaumbele' chake ni Chelsea na anasubiri mazungumzo ya kuanza kuhusu uhamisho huo. (Fabrizio Romano)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’