Tottenham wanaonyesha nia ya kumsajili winga wa Real Madrid na Brazil, Rodrygo, 24, kama mbadala wa mshambuliaji wao kutoka Korea Kusini, Son Heung-min, 33. (AS - in Spanish)
Manchester United wako tayari kutoa ofa ya kwanza inayofanana na Newcastle kwa ajili ya mshambuliaji wa RB Leipzig na Slovenia, Benjamin Sesko, 22. (Sky Sports Germany)





