Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Stars dimbani dhidi ya Mauritania leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Aug 2025
Stars dimbani dhidi ya Mauritania leo

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso ambao umeiweka Tanzania kileleni mwa kundi B, wenyeji hao wa michuano ya CHAN leo tena wanashuka dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Mauritania katika mchezo utakaopigwa saa 2 usiku

Tanzania leo inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya mtoano

Ili kuhakikisha Watanzania wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa leo, watu 10,000 wa kwanza kuingia katika majukwaa ya Mzunguuko hawatalipa kiingilio, muhimu wawe na N-Card

Zitachezwa mechi mbili, ukilipia kiingilio cha mchezo kati ya Stars dhidi ya Mauritania, utatizama bure mchezo wa saa 11 kati ya Burkina Faso dhidi ya Afrika ya Kati

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’