Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso ambao umeiweka Tanzania kileleni mwa kundi B, wenyeji hao wa michuano ya CHAN leo tena wanashuka dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Mauritania katika mchezo utakaopigwa saa 2 usiku
Tanzania leo inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya mtoano
Ili kuhakikisha Watanzania wanaujaza..... download Xtra 90 App



