Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inashuka tena uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Madagascar katika mchezo wa raundi ya tatu, kundi B michuano ya CHAN 2024
Stars inahitaji kushinda mchezo huo ili kukata tiketi mapema ya kufuzu hatua ya mtoano
Vinara hao wa kundi B, wamekusanya alama 6 kutoka mechi mbili wakiendekeza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100





