Leo Agosti 09, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufanya droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026.
Droo hii itafanyika kuanzia saa 7:00 mchana katika studio za Azam Media na kuonyeshwa mbashara
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa ni Yanga na Simba wakati katika Kombe la Shirikisho ni Azam FC na Singida BS
Mechi za mtoano hatua ya awali na raundi ya kwanza zinatarajiwa kupangwa



