Kanoute atua Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 11th August 2025


Kanoute atua Azam Fc

Klabu ya Azam Fc imethibitisha kumsajili kiungo wa zamani wa Simba Sadio Kanoute

Azam Fc imemtambulisha Kanoute baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka mitaa ya Chamazi hadi mwaka 2027

Nyota huo raia wa Mali ametua Azam Fc akiwa mchezaji huru baada ya kuitumikia JS Kabylie ya Algeria msimu uliopita


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.