Local,Transfer News,Azam, Singida

Manyama arejea Azam Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Aug 2025
Manyama arejea Azam Fc

Klabu ya Azam FC jana ilithibitisha kumsajili beki wa kati Edward Charles Manyama kwa mkataba wa mwaka mmoja, utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwaka 2026.

Manyama (31), raia wa Tanzania, ana historia ya kuchezea vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu Tanzania Bara, vikiwemo Namungo FC, Azam FC, Ruvu Shooting na Singida Black Stars.

Anarejea kwa Wanalambalamba baada ya kuvunja mkataba wake na Singida Black Stars. Ujio wa Manyama unatarajiwa kuimarisha safu ya ulinzi ya Azam FC kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu, huku benchi la ufundi likiendelea kufanya maboresho ya kikosi chao.

Hii ni mara ya pili Manyama anarejea katika klabu hiyo baada ya kocha Florent Ibenge kumuhitaji katika kikosi chake

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’