Local,Normal News,Yanga, Rayon

Yanga kuelekea Rwanda kuikabili Rayon sports

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Aug 2025
Yanga kuelekea Rwanda kuikabili Rayon sports

Kikosi cha Yanga leo kinatarajiwa kutua Rwanda tayari kwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports ambao utapigwa Ijumaa, August 15 katika uwanja wa Amahoro

Baadhi ya maafisa wa Yanga wametangulia nchini humo kuweka sawa taratibu za mapokezi ya timu

Yanga imealikwa katika Tamasha la Rayon Day, tukio linalofanana na Wiki ya Mwananchi ambayo hufanywa na Yanga

Mechi hiyo itakuwa ya kwanza kwa kocha Romain Folz aliyetua Yanga mwezi uliopita akichukua mikoba iliyoachwa na Miloud Hamdi

Folz amekiandaa kikosi chake kwa takribani siku 10, ana matumaini makubwa ya kuanza vyema majukumu yake katika mchezo huo wa kirafiki

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’