Manchester United haitaendelea na mpango wa kumnunua Carlos Baleba, mlinda mlango wa Manchester City Ederson anafikiria mustakabali wake na Newcastle wanataka kukamilisha dili la kumnunua Yoane Wissa wa Brentford.
Manchester United haitaendelea na mpango wa kumnunua kiungo wa kati wa Cameroon Carlos Baleba, 21, msimu huu wa joto, huku thamani ya Brighton ya pauni milioni 115 ikionekana..... download Xtra 90 App



