Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili mshambuliaji Suleiman Mwalimu Gomez kutoka Wydad Athletic
Mwalimu aliyezitumikia Singida BS/Fountain Gate kabla ya kutimkia Wydad, anarudi Tanzania kwa mkopo wa msimu mzima Simba ikiwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja pale muda wa mkopo utakapomalizika
Ni usajili uliokuwa ukisubiri uthibitisho tu kwani Simba ilikamilisha usajili wake tangu..... download Xtra 90 App



