Wakitokea Mafinga kwenye uzinduzi wa Wiki ya Simba, msafara wa viongozi na mashabiki ukiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam, wametembelea na kufanya dua kwenye kaburi la aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Simba, Zacharia Hans Poppe.

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.