Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars), Hemed Suleiman Morocco, ameshauri waandishi wa habari nchini kuonesha uzalendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano na shughuli za Timu ya Taifa.
Akizungumza wakati wa kutangaza kikosi cha kitakachoingia kambini Septemba 2, 2025 kwaajili ya maandalizi ya mechi mbili za kufuzu kombe la dunia 2026, Suleiman amesema ni jambo la..... download Xtra 90 App



