Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Morocco ataka uzalendo kwa Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Sep 2025
Morocco ataka uzalendo kwa Stars

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars), Hemed Suleiman Morocco, ameshauri waandishi wa habari nchini kuonesha uzalendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano na shughuli za Timu ya Taifa.

Akizungumza wakati wa kutangaza kikosi cha kitakachoingia kambini Septemba 2, 2025 kwaajili ya maandalizi ya mechi mbili za kufuzu kombe la dunia 2026, Suleiman amesema ni jambo la kusikitisha kuona mwitikio mdogo wa vyombo vya habari, tofauti na nchi nyingine ambapo waandishi hujitokeza kwa wingi kuunga mkono timu zao.

β€œWaandishi wanapaswa kuisapoti timu yao. Hata wakitusema sisi tunachukulia kama changamoto, ila uwepo wao ni muhimu kama ishara ya uzalendo,” alisema Morocco.

Kocha huyo ameongeza kuwa mwitikio mkubwa wa waandishi unaweza kuongeza motisha kwa wachezaji na benchi la ufundi kuelekea mechi za kimataifa.

Morocco alitangaza kikosi cha wachezaji 23 ambao wataiwakilisha Tanzania katika mechi mbili za kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Niger

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
49m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’