Marc Guehi hajafurahishwa sana na Crystal Palace kwa kumnyima uhamisho wa Β£35m kwenda Liverpool, ambayo ilikuja baada ya meneja Oliver Glasner kutishia kujiuzulu ikiwa beki huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 25 atauzwa. (Guardian)
Kama Liverpool wangetoa pauni milioni 55 kwa Guehi basi Crystal Palace wangeendelea na uhamisho huo na huenda Reds wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa..... download Xtra 90 App



