Klabu ya Liverpool haitamsajili beki wa Crystal Palace Marc Guehi mwezi Januari. The Reds walishindwa kupata pauni milioni 35 za kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 25 wiki iliyopita. Mkataba wake utakapokamilika msimu ujao wa kiangazi. (Times - usajili unahitajika)
Majadiliano kati ya mlinzi wa Liverpool na Ufaransa Ibrahima Konate kuhusu kandarasi mpya..... download Xtra 90 App



