Pazia la ligi kuu 2025/26 kufunguliwa leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th September 2025


Pazia la ligi kuu 2025/26 kufunguliwa leo

Baada ya kuxhuhudia mchezo wa Ngao ya Jamii hapo jana Yanga ikifanikiwa kutetea Ngao hiyo kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuichapa Simba bao 1-0, mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaanza kutimua vumbi leo katika viwanja viwili

Saa 10 jioni KMC watakuwa wenyeji wa Dodoma Jiji katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex huku Coastal Union wakiikabili Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkwakwani

Hii hapa ratiba ya mechi za wiki hii;


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.