Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja wa Liti, Singida na Sokoine, Mbeya kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Katika Taarifa iliyotolewa na Shirikisho hilo imeeleza kuwa miundombinu ya viwanja hivyo haikidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa kwenye masharti ya Kanuni ya Leseni za Klabu





