Ligi inaendelea baada ya mapumziko ya FIFA

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th October 2025


Ligi inaendelea baada ya mapumziko ya FIFA

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo Ijumaa kwa mechi mbili kupigwa baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA

Pamba Jiji watakuwa wenyeji wa Mashujaa Fc katika mchezo utakaopigwa saa 8 mchana wakati Fountain Gate wakiwakaribisha Dodoma Jiji katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni

Mechi nyingine kati ya KMC dhidi ya Mbeya City itapigwa kesho Jumamosi saa 10 jioni


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.