Okello aanza kujifua na Yanga

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th January 2026


Okello aanza kujifua na Yanga

Kiungo mshambuliaji Allan Okello ameanza rasmi kujifua na kikosi cha Yanga siku chache tangu ajiunge na mabingwa hao wa nchi.

Yanga imemsajili Okello kutoka klabu ya Vipers Fc ya Uganda, akisaini mkataba wa miaka miwili na nusu.

Yanga inatarajiwa kumtumia nyota huyo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga ikitarajiwa kuumana na Al Ahly Januari 23.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.