Uongozi wa klabu ya Simba utalazimika kuamua hatma ya kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua katika dirisha hilo baada ya kupokea ofa kadhaa kwa ajili yake, imefahamika.
Ahoua bado ana mkataba na Simba hadi mwisho wa msimu lakini inaelezwa kuna ofa nono kutoka Arabuni na pia Raca CA ya Morocco.
Kocha wa Raja CA Fadlu Davids anapambana kumnasa kiungo huyo mshambuliaji ambaye unaweza..... download Xtra 90 App



