Local,Transfer News,Simba

Ahoua aitega Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Jan 2026
Ahoua aitega Simba

Uongozi wa klabu ya Simba utalazimika kuamua hatma ya kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua katika dirisha hilo baada ya kupokea ofa kadhaa kwa ajili yake, imefahamika.

Ahoua bado ana mkataba na Simba hadi mwisho wa msimu lakini inaelezwa kuna ofa nono kutoka Arabuni na pia Raca CA ya Morocco.

Kocha wa Raja CA Fadlu Davids anapambana kumnasa kiungo huyo mshambuliaji ambaye unaweza kusema alibeba ramani yake ya mafanikio akiwa na Simba kabla ya kutimkia Morocco mwanzoni mwa msimu huu.

Mpaka sasa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba wake na pengine Simba inaweza kumpoteza akiwa mchezaji huru kama watasubiri mkataba wake umalizike.

Kocha mpya wa Simba Steve Barker anamuona Ahoua kama mchezaji muhimu katika kikosi chake akihitaji kuendelea kuwa nae.

Hivyo mtihani umebaki kwa mabosi wa Simba ambao wanapaswa kuamua sasa wachukue pesa au waendelee kumshawishi aongeze mkataba mpya.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’