Local,Transfer News,Simba, Singida

Singida BS yashusha mrithi wa Chama

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Jan 2026
Singida BS yashusha mrithi wa Chama

Muda mchache baada ya Singida Black Stars kukubali kumwachia Clatous Chama atimkie Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo Mkongomani, Linda Mtange kutoka Aigles Du Congo.

Chama aliitumikia Singida Black Stars kwa miezi sita akitua mwanzoni mwa msimu huu akitokea Yanga na alihudumu kwa msimu mmoja akitokea Simba.

Chanzo cha kuaminika kutoka Singida Black Stars, kimebainisha kuwa wamemuachia Chama baada ya kupata mbadala sahihi ambaye ataweza kuipa vitu vingi zaidi ndani ya timu yao.

β€œNi kweli Chama ameondoka Singida Black Stars na tayari tumeshampata mbadala wake ambaye tunaamini ataweza kufanya mambo makubwa ndani ya timu, makubaliano ya kumalizana na kiungo huyo yapo katika hatua za mwisho," kilieleza chanzo

Pamoja na Chama, Singida BS imewapoteza wachezaji wengine Nickson Kibabage ambaye pia kajiunga na Simba, Mohamed Damaro aliyejiunga na Yanga na Idris Diomande aliyetua Azam Fc

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
2h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
9h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
12h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
12h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’