Local,Normal News,Azam

Azam Fc kusaka ushindi wa kwanza CAFCC Nairobi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Jan 2026
Azam Fc kusaka ushindi wa kwanza CAFCC Nairobi

Kikosi cha Azam FC tayari kimewasili jijini Nairobi, Kenya kuelekea mechi ya kombe la Shirikisho kundi B dhidi ya Nairobi United.

Mchezo huo utapigwa Jumapili Januari 25 kwenye Uwanja wa Taifa wa Nyayo.

Unaweza kusema ni mechi ambayo Azam Fc itaingia kwa lengo la kusaka ushindi wake wa kwanza katika michuano hiyo baada ya kupoteza mechi zote mbili zilizopita.

Wapinzani wao Nairobi United nao walipoteza mechi zote zilizopita hivyo kila mmoja ataingia kwenye mchezo huo kusaka rekodi ya ushindi wa kwanza.

Aidha matokeo tofauti na ushindi huenda yakafifisha matumaini ya Azam Fc kutinga robo fainali ya michuano hiyo licha ya kuwa na kocha mwenye uzoefu mkubwa na mashindano ya CAF, Florent Ibenge.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’