Klabu ya Simba SC imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kukisuka upya kikosi chake kwa kufanya usajili muhimu, ikikamilisha dili la kumsajili kiungo mshambuliaji Inno Jospin Loemba pamoja na winga mahiri Anicet Oura.
Wekundu wa Msimbazi wanatajwa kukamilisha usajili wa Loemba mwenye umri wa miaka 21 kutoka klabu ya Colombe Sports ya Cameroon. Loemba, raia wa Congo Brazzaville, anatua Simba..... download Xtra 90 App



