Abuya, Pedro waondoka na tuzo za ligi kuu Disemba 2025

Joel JJ By Joel JJ β€’ 23rd January 2026


Abuya, Pedro waondoka na tuzo za ligi kuu Disemba 2025

Kiungo wa Yanga Duke Abuya ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Disemba 2025.

Abuya ameshinda tuzo hiyo mbele ya Nassor Saadun wa Azam Fc na Prince Dube wa Yanga baada ya kuhusika katika mabao mawili.

Aidha tuzo ya kocha bora imeenda kwa mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves ambaye aliiongoza Yanga kushinda mechi mbili.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.