Baada ya mapumziko ya wiki kadhaa kupisha michuano ya Afcon 2025 iliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita na Senegal kuibuka mabingwa, michuano ya ngazi ya klabu ligi ya mabingwa (CAFCL) na kombe la Shirikisho (CAFCC) inarejea wikiendi hii.
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga wao wako ugenini leo kumenyana na Al Ahly, mabingwa wa kihistoria wa michuano..... download Xtra 90 App



