Klubu ya Ujerumani, Schalke 04, imethibitisha usajili wa kiungo mashambulizi mwenye uzoefu wa kimataifa, Edin Dzeko, ili kuisaidia klabu hiyo katika jitihada zake za kurudi Bundesliga. Dzeko, ambaye atasherehekea miaka 40 mwezi Machi, alihama msimu uliopita kwenda Fiorentina ya Serie A.
Hata hivyo, Dzeko ambaye amekuwa akianza michezo michache tu msimu huu kwa Fiorentina, sasa amerudi..... download Xtra 90 App



