Kiungo mshambuliaji Tepsi Evance ameanza kuitumikia klabu yake mpya ya JKT Tanzania ambayo amejiunga nayo akitokea Azam Fc.
Vinara hao wa ligi kuu ya NBC, wamemsajili Tepsi kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu.
Ni mwendelezo wa nyota huyo kutolewa kwa mkopo baada ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha Azam Fc.
Tepsi ni mmoja wa wachezaji waliotabiliwa kufanya mambo makubwa kwenye..... download Xtra 90 App



