Beki wa kulia wa England, Trent Alexander-Arnold, hajaambiwa aondoke Real Madrid, licha ya ripoti kutoka Hispania kudai kuwa kocha mpya Alvaro Arbeloa amemtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 atafute klabu mpya majira haya ya kiangazi. (Mail)
Arsenal wanachunguza uwezekano wa kufanya usajili wa kiangazi kwa mshambuliaji wa Atletico Madrid na Argentina, Julian Alvarez, mwenye umri wa..... download Xtra 90 App



