Klabu ya Simba SC imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha kikosi chake kwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Inno Jospin Loemba (21) kutoka klabu ya Colombe Sports ya Cameroon.
Loemba tayari ametua jijini Dar es Salaam, hatua inayofungua ukurasa mpya katika safari yake ya soka barani Afrika Mashariki.
Taarifa kutoka ndani ya klabu zinaeleza kuwa huenda utambulisho..... download Xtra 90 App



