Klabu ya JKT Tanzania imeendelea kuonyesha mwanzo mzuri wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kujikita katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, hali inayodhihirisha dhamira ya timu hiyo ya jeshi kufanya vizuri zaidi msimu huu.
Tangu kuanza kwa ligi, JKT Tanzania imekuwa ikipeleka ushindani mkubwa kwa timu mbalimbali, ikionyesha uimara katika safu ya ulinzi, nidhamu ya hali ya juu na..... download Xtra 90 App



