Juventus wanaongeza jitihada za kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 27, Randal Kolo Muani, ambaye yupo kwa mkopo Tottenham akitokea Paris St-Germain, na Spurs wanaweza kumchukua mshambuliaji wa Crystal Palace Jean-Philippe Mateta (28) kama mbadala endapo Kolo Muani ataondoka. (Mail)
Mshambuliaji wa Uholanzi Joshua Zirkzee pia ni chaguo lingine la Juventus, huku..... download Xtra 90 App



