Shirikisho la mpira wa miguu Afrika, CAF limeitoza Senegal faini ya jumla ya Sh1.55 Bilioni kufuatia ukiukwaji wa nidhamu katika fainali ya AFCON 2025 iliyopigwa Morocco.
Senegal imetozwa faini ya Sh756,300,000 milioni kwa kosa la utovu wa nidhamu kwa mashabiki, Sh756,300,000 milioni kwa utovu wa nidhamu kwa wachezaji na maafisa.
Pia imetozwa Sh37,815,000 kwa kosa la kupokea kadi..... download Xtra 90 App



