Local,Transfer News,Yanga

Yanga yashusha winga dakika za jioooni

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Jan 2026
Yanga yashusha winga dakika za jioooni

Dirisha la usajili limefungwa majira ya saa 5:59 usiku, Rais wa Yanga Injini Hersi Said akaamua dirisha hili lifungwe kinyonge.

'Usiku mnene' Yanga ikatambulisha usajili wa winga hatari raia wa Gambia, Buba Jammeh (24).

Hii ilikuwa sapraisi kwelikweli kwa Wananchi kwani ni usajili uliofanyika dakika za jioooni.

Buba ametua Yanga akitokea klabu ya Interclube ya Angola, akimudu kucheza nafasi zote za winga. Ni kama Yanga imeamua kuleta mbadala wa Ecua Celestin aliyetolewa kwa mkopo JS Kabylie kwani Buba nae anatumia mguu wa kushoto.

Ni wazi sasa usajili wake umemuondoa kiungo Moussa Balla Conte ambaye Yanga ilipokea ofa kadhaa kwa ajili yake ikiwemo klabu ya Raja CA.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
5h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
9h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
15h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
15h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
21h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’