Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amewapa pole Wanasimba wote baada timu yao kushindwa kufuzu robo fainali ya ligi ya mabingwa leo wakilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Esperance.
Ahmed amesema ni msimu mbaya kwa Simba kushindwa kufuzu robo fainali baada ya kufanya hivyo kwa takribani misimu saba mfululizo.
Ahmed amesema kwa sasa Simba inaelekeza nguvu..... download Xtra 90 App



