Ligi Kuu ya Saudi Arabia iko tayari kumuuza mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo kwa ada ya pauni milioni 43. Hata hivyo, Manchester United hawana mpango wa kumrejesha nyota huyo mwenye umri wa miaka 41 kwa mara ya tatu. (The i paper)
Chelsea iko tayari kupambana na Tottenham Hotspur kuwania saini ya mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic, 26, ambaye mkataba wake na Juventus unatarajiwa..... download Xtra 90 App



