Bayern Munich wanapanga kumsajili kipa wa Brighton, Bart Verbruggen (23), katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi. (Talksport)
Chelsea wako tayari kupambana na Bayern Munich kwa ajili ya Verbruggen na wako tayari kutoa pauni milioni 50 inayotakiwa na Brighton kwa ajili ya kipa huyo wa kimataifa wa Uholanzi. (Teamtalk)
Beki wa England wa Manchester City, John Stones (31),..... download Xtra 90 App



