Local, Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Gamondi apewa miaka miwili Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Feb 2026
Gamondi apewa miaka miwili Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Miguel Gamondi amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukinoa kikosi cha Taifa Stars.

Gamondi ambaye alipewa majukumu ya muda kuiongoza Stars kwenye michuano ya Afcon 2025, amepewa mkataba wa muda mrefu baada ya kufanya vyema akiingoza Stars kucheza hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza.

Atahudumu kwenye nafasi hiyo hadi mwaka 2028 akitarajiwa kuiongoza Stars kwenye michuano ya Afcon 2027 Tanzania ikiwa nchi mwenyeji pamoja na Kenya n Uganda.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’