Local,Normal News,Yanga, Simba

Dabi ya Kariakoo March 1 kupigwa Zanzibar

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Feb 2026
Dabi ya Kariakoo March 1 kupigwa Zanzibar

Bodi ya ligi (TPLB) imetangaza mchezo wa namba 154 ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa March 1, 2026 katika uwanja wa New Amaan Complex.

Mchezo huo wa pili kuzikutanisha Simba na Yanga msimu huu baada ya kukutana kwenye Ngao ya Jamii, utapigwa saa 2:15 usiku.

Yanga ni wenyeji wa mchezo huo, TPLB ikiridhia ombi lao la kuchezwa Zanzibar.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani

1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam

2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz

Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho

3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup

Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani

4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027

5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold

18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu

19h ago
READ MORE β†’