Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetangaza kutafuta kampuni moja itakayopewa haki za ubashiri mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa March 1 uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
TFF imezionya kampuni nyingine za ubashiri (ambazo hazitakuwa na haki) haziruhusiwi kubashiri kwenye mchezo huu.





