Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao, ametajwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Usimamizi ya TRA United Sports Club.
Bodi hiyo imeznduliwa rasmi jana na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda.
Bodi hiyo itaongozwa na mwenyekiti Edmund Kawamala, akishirikiana na wajumbe wengine nane kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Taasisi za Sekta Binafsi na..... download Xtra 90 App



