Local,Normal News,TRA

Kidao apeta Bodi ya usimamizi TRA United

Joel JJ By Joel JJ
โ€ข
19 Feb 2026
Kidao apeta Bodi ya usimamizi TRA United

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao, ametajwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Usimamizi ya TRA United Sports Club.

Bodi hiyo imeznduliwa rasmi jana na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda.

Bodi hiyo itaongozwa na mwenyekiti Edmund Kawamala, akishirikiana na wajumbe wengine nane kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Taasisi za Sekta Binafsi na watumishi wa TRA.

Lengo kuu la Bodi hiyo ni kuisimamia kikamilifu TRA United, kuifanya kuwa timu tishio ndani na nje ya nchi, huku ikitumia michezo kama njia ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa hiari.

Kamishna Mwenda amesisitiza kuwa timu hiyo imeanzishwa si kwa ajili ya burudani pekee, bali pia kufungamanisha wajibu wa TRA na wananchi.

โ€œTumetengeneza timu hii kufundisha wananchi umuhimu wa kulipa kodi na kuhakikisha inakuwa mfano wa nidhamu na utendaji mzuri,โ€ amesema Mwenda.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE โ†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE โ†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE โ†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE โ†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE โ†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE โ†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE โ†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE โ†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE โ†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE โ†’