Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuvifungulia viwanja vya Sokoine Mbeya na Ali Hassan Mwinyi Tabora baada ya kufanyiwa ukarabati.
Taarifa iliyotolewa na TFF, imebainisha kuwa viwanja hivyo vinaweza kutumika baada ya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu,
Hata hivyo, mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba..... download Xtra 90 App



