Julio aanza kuinoa Mashujaa Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 19th February 2026


Julio aanza kuinoa Mashujaa Fc

Kocha maarufu na mwenye maneno mengi Jamhuri Kiwhelo 'Julio' ameanza rasmi majukumu ya kukinoa kikosi cha Mashujaa Fc.

Julio ametua Mashujaa Fc akichukua nafasi ya Salum Mayanga ambaye alionyeshwa mlango wa kutokea baada ya mfululizo wa matokeo mabaya.

Je Julio atarejesha makali ya Mashujaa Fc?


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.