Paris St-Germain imekuwa ikimfuatilia mshambuliaji wa Norway klabu ya Manchester City, Erling Haaland kwa muda mrefu, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 huenda akaelekea Uhispania, ikiamua kuhama. (Team Talk)
Klabu ya Aston Villa inataka kumsajili kiungo wa kati wa Wales Harry Wilson kwa uhamisho wa bure kutoka Fulham msimu huu wa joto, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28..... download Xtra 90 App



