Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves amesema kikosi chake kimejiandaa kikamilifu kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Majaliwa.
Akizungumza katika mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo, Goncalves amesema licha ya kukabiliwa na ratiba ngumu ya kucheza mechi mfululizo, wanakwenda kwenye mchezo huo wakiwa imara lengo likiwa..... download Xtra 90 App



