Tottenham na Newcastle wana shauku ya kumrudisha kwenye ligi kuu mshambuliaji wa Al-Hilal wa Uruguay mwenye umri wa miaka 26, Darwin Nunez, ambaye zamani alikuwa Liverpool. (Teamtalk)
Tottenham na Aston Villa ni miongoni mwa vilabu vinavyomfuatilia kiungo wa Lyon wa Jamhuri ya Czech mwenye umri wa miaka 25, Pavel Sulc. (Mail)
Beki wa Uingereza Joe Gomez anaonekana kujiandaa kuondoka..... download Xtra 90 App



